HALI TETE SUDÁN: WATU 400 WAUAWA KINYAMA, HOFU YATANDA HADI NCHI JIRANI
Kuzuka kwa uhasama baina ya majenerali wawili nchini sudán kumezua hofu kwa nchi majirani ambao wamekuwa wakitegemeana katika baadhi ya rasilimali ikiwemo maji yanayotiririka katika mto Nile
Nchi ya Misri ambayo ni mtumiaji mkubwa wa maji ya mto Nile pamoja na Etiopía ambayo inatumia maji ya mto huo katika kuzalisha umeme tayari zimewasilina na mamlaka zinazokinzana nchini humo kwa lengo la kutaka kusitishwa kwa mapigano
Hofu baina ya mataifa hayo ni kwamba vita vinavyoendelea katika taifa hilo huenda vikasababisha ama kuathiri mtiririko mzima wa maji ya mto Nile pamoja uchafuzi wa maji hayo
Kwa mujibu wa mashirika ya umoja wa mataifa zaidi ya watu 400 wameuawa huku wengine 3700 wakijeruhiwa katika vita vinavyoendelea nchini Sudán
VER WASAFI TV📺
AZAM-411 | DSTV – 296 | ZUKÚ-028 | HORAS DE INICIO – 444 & 333 | COCO TV – 20 | CABLE DODOMA – 113
ESCUCHA WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Siga con nosotros:
INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/
GORJEO: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafim
TANZANIA NCHI YANGU TUISHI HIVI HIVI
TUFE WENYEWE KWA MAGONJWA YETU
Marekani kama kawaida yao
Africa ni Bara la kiza linye kuambatana fujo na migogoro ya kipumbavu kabisa
Hao ni marekani tu & NATO hakuna wafadhiri wengine kama hao
Mrusi mbona akichonganisha Africa watu hamwongei
Uoga wa marekani kinacho tokea pale
Mungu ibariki Afrika
Marekani wanaendeleza biashara ya siraha hapo wakichafua tu wanalala mbele muuane
Malekani washaingia kuwadanganya sudan, iliwapigane wenyewekwawenyewe waowanajichotea mali na. Wanafurahi kuona wanajimaliza wenyewe . Wamalekani laana. Iwashukie mafllmasson wote
improve story telling … title // sudan /// video to general
Tatzo lipo
Marekani ufaransa ,walijifanya msafara wao umeshambuliwa sudan ili tusijue kinachoendelea lkin hii ni wao tu na NATO
Hii Dunia bado tamu na utamu hautaisha maana vituko kila kona
Marekani hapo anaifanya kazi yake kumtisha PUTIN na chinese kama wanaitazama Africa basi inawaeleza kuwa wanavikosi vyao vya kigaidi wanavyovifadhili
Sudan Ina mkakati wa kuipa Urusi base ya kijeshi marekani wamemtumia general wa 2 kutoka juu kufanya uasi na kupingana na na boss wake ili nchi iingie ktk vita vya wenyewe kwa wenyewe na urusi isifanikiwe lengo lake
Watu wameuwawa kwa majiwe wana roho zakinyama
Nchi zakislam zinachangamoto
Hawa si wa dini moja Sasa waagombea Nini?
Wanazingua
Mungu aibariki sudani insha allah wenzetu wanapitia hali iliyo ngumu sana ,Mungu wajaliye na wenzetu wapate amani kama tuliyo nayo sisi ama zaidi na tuliuo nayo ,allahummna amina😢😢
Hayo ni malipo ya kuwauwa wasudani kusini, wacha wamalizane kabisa wakichoka watatulia
Wanyama ndio upigana wameshiba Acha wabondane
Sudan build your country; those who are supporting violence in your country are thieves with no God in them
Hao ndiyo marafiki zetu na wajomba tunaowategemea watupe misaada